Mapacha Samples

Sisi ni Nani

Mapacha Furniture Classic ni wataalamu wazoefu watengenezaji wa Makochi na samani zingine za nyumbani na maofisini. Biashara yetu inaundwa na watu wenye uzoefu mkubwa na ubunifu wa hali ya juu.
Ujuzi wetu hujionesha wazi katika bidhaa zetu ambazo zipo tofauti kabisa na za washindani wetu. Tutembelee ama tupigie kwenye namba zilizopo ukurasa wa mbele wa blog hii ili tukupe ufafanuzi zaidi wa bidhaa zetu na shughuli zetu kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment