Mapacha Samples

Friday, May 8, 2015

Makochi ya Vitenge

Mapacha Furniture Classic tunatangeneza aina zote Za makochi , tunampa mteja nafasi ya kuchagua design pamoja na kitambaa atakacho. Mfano hapo juu aina mpya ya makochi yanayotengenezwa kwa vitambaa vya vitenge. Karibuni sana

1 comment: